SIMBA IJAYO ITAKUWA TAMU YAMNASA HUYU

0:00

MICHEZO

Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 2024, mwaka huu, Klabu ya Simba imeanza tena mchakato wa kusaka huduma ya winga na kiungo mshambuliaji wa Ihefu, raia wa Togo, Marouf Tchakei.

Simba SC imepania kwa kiasi kikubwa kufumua kikosi chake na kutengeneza timu mpya yenye ushindani kwa ajili ya msimu jao wa mashindano, inapiga hodi kwa kiungo huyo ambaye anacheza namba moja na Clatous Chama.

Habari kutoka ndani ya Simba SC zinasema huenda safari hii wanaweza nyota huyo kirahisi kutokana na kilichoelezwa pia nyota huyo yuko tayari kupata changamoto mpya lakini bado anabanwa na mkataba wake.

Chanzo kingine kutoka Ihefu kimesema bado ana mkataba, hivyo kama Simba SC inamhitaji italazimika kufanya mazungumzo.

“Tulimhitaji dirisha dogo la usajili, lakini ilishindikana, klabu yake iliweka ngumu lakini mwenyewe alikuwa radhi kujiunga na timu yetu, akatuambia tusubiri msimu uishe atakuwa huru, sisi tunasimamia pale pale, lakini kama itakuwa vinginevyo basi tutaangalia itakavyokuwa lakini ni lazima tumng’oe, tumejidhihirisha ni mchezaji mzuri na atatusaidia sana, ameshaifahamu Ligi ya Tanzania na ameizoea,” amesema mtoa taarifa hizi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

REMA AWEKA REKODI MPYA SPOTIFY ...
NYOTA WETU. Kwa mujibu wa jarida la Digital Platform, Rema...
Read more
RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA
Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule...
Read more
MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO...
Habari Kuu Marekani imetangaza vikwazo kwa makampuni 25 na watu...
Read more
MFAHAMU MWANAUME MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI
NYOTA WETU
See also  Aston Villa maintain interest in Joao Felix of Atletico Madrid if an affordable package can be reached and the Portuguese convinced to make the switch.
Muigizaji mtanashati kutoka Marekani Michael B Jordan amefunguka...
Read more
CHELSEA KUMPA MKATABA MPYA COLE PALMER
NYOTA WETU Imefahamika kuwa uongozi wa klabu ya Chelsea unajipanga...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply