SANAMU LA KYLIAN MBAPPE LAZUA GUMZO DUNIANI

0:00

MICHEZO

Mchezaji wa zamani wa PSG, Kylian Mbappe siku ya jana Mei 16, 2024 huko Paris nchini Ufaransa, alizindua sanamu lake katika Nyumba ya Makumbusho ya Madame Tussauds, na kuzua gumzo kutokana na kufanana kwa kiasi kikubwa na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.

Wakati wa hafla hiyo iliyohudhuriwa na Baba yake Mbappe (Wilfrid) na marafiki zake wa karibu, sanamu hilo lilionesha pozi maarufu la kushangilia ambalo Mbappe hulitumia.

Sanamu hiyo inasimama kama ishara ya athari ya kudumu ya Mbappé kwenye mchezo wa Soka na uwezo wake wa kuungana na mashabiki duniani kote.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Which is the contract between Enzo Moresca...
He will sign a 5-year contract! Despite the fact that many...
Read more
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la...
Safia amemtangaza Pele kushinda nafasi hiyo leo Jumamosi, Juni 08,...
Read more
MAJOR REASONS WHY MANY HUSBANDS ARE NOT...
LOVE TIPS ❤ 1. She wastes resources. She...
Read more
DEREVA WA SHULE YA MEMORIAL ASOMEWA MASHTAKA
HABARI KUU Dereva wa Basi dogo la Shule ya Msingi...
Read more
BENZEMA ATISHIWA TENA ...
MICHEZO Kufuatia shutuma za Waziri wa mambo ya ndani wa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

Leave a Reply