Viongozi 10 wa Nchi wenye Magari yenye thamani kubwa Duniani

0:00

MAKALA

Jambo la kwanza la kuzingatia inapokuja suala la kuchagua gari rasmi la Viongozi mbalimbali duniani, hasa Kiongozi wa nchi yoyote ni usalama, kisha mambo mengine hufuata.

Viongozi wanapofikiria magari ya kutembelea huzingatia Usalama, Ubora, Kasi, Teknolojia na thamani yake kujitofautishfa na watu wa kawaida.



Haya ni Magari ya 10 ya gharama yanayomilikiwa na Viongozi mbalimbali duniani;

10.Fumio Kishida (Japan) – Toyota Century $130,000

9.Vladimir Putin ( Urusi) – Aurus cenat $250,000

8.Taamim bin hammadi Al Thani ( Qatar)- Brantley Mulan Grand Limousine $310,000

7.Felipe VI (Uhispania ) – Rolls Royce Phantom VI $445,000

6.Paul Biya ( Cameroon)- Range Rover Sentinel $500,00

5.Scott Morrison ( Australia)- BMW 7 Series $550,000

4.Kim Jong Un (Korea Kaskazini) – Mercedes Maybach S 600 Pullman Guard $1,800,000

3.Joe Biden (Marekani) – Cadillac – The Beast $2,000,000

2.King Charles II ( Uingereza)- Bentley state Limousine $11,250,000

1.Hassanal Bulkiah (Brunai) – Rolls Royce Silver Spur 2 $14,000,000

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Abuja resident made a remarkable achievement as...
Munachimso Brian Nwana, a food consultant hailing from Abuja, has...
Read more
Kwanini Msanii SNURA wa Majanga Amepiga Marufuku...
Mwanamuziki Snura Mushi ametangaza kuacha muziki huku akikataza nyimbo zake...
Read more
Denmark name Riemer as Head coach
Brian Riemer will take over as Denmark head coach as...
Read more
Wood brace earns Nottingham Forest 3-1 Derby...
Chris Wood scored a brace as Nottingham Forest moved up...
Read more
18 COSTLY MISTAKES THAT WIVES MAKE ...
LOVE ❤ 1. PROLONGING SILENT TREATMENT WHEN OFFENDED TO SHOW...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Chelsea have offered Williams a crazy salary, three times more than he currently earns

Leave a Reply