JESHI LAZIMA JARIBIO LA MAPINDUZI DRC

0:00

HABARI KUU

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Felix Tshisekedi huko Kinshasa.

Hayo yamebainishwa na Msemaji wa jeshi la DR Congo Brig Jenerali Sylavin Ekenge katika kituo cha runinga cha taifa RTNC TV ambapo amesema kuwa washukiwa kadhaa wamezuiliwa na “hali sasa imedhibitiwa”.

Tangazo hilo linajiri saa chache baada ya watu wenye silaha kushambulia nyumba ya Vital Kamerhe ambaye ni mkuu wa zamani wa majeshi na mshirika wa karibu wa Rais Felix Tshisekedi.

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kundi la watu takriban 20 wakiwa wamevalia sare za jeshi walishambulia makazi hayo na ufyatulianaji wa risasi ukafuatia.

Rais Tshisekedi hajatoa tamko lolote kuhusu tukio hilo.

Wakati huo Balozi wa Japani katika mji mkuu wa Congo amewaonya wajapani walioko DRC kutotoka nje.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI...
Makala Fupi Nchi ya Denmark inatajwa mara kibao kuwa kinara...
Read more
YOUNG AFRICANS YATAJA SABABU ZA KUMUACHA JOYCE...
MICHEZO Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakisaka...
Read more
ALIYE MUUA MTOTO WAKE WA MIAKA MITATU...
MAGAZETI
Read more
Kwanini Israel Imehusika Kwenye Mahuaji ya Ismail...
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina...
Read more
KIFAFA CHA MIMBA NI NINI?
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Tujifunze Kuwa na Imani kubwa na juhudi zaidi kama VUMI LEY MATAMPI (35) itatusaidia sana

Leave a Reply