Rekodi ya Pep Guardiola dhidi ya Alex Ferguson

0:00

MICHEZO

Baada ya kuiongoza Manchester City kushinda ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo, Pep Guardiola ameshinda jumla ya mataji 17 tangu atue klabuni hapo.

Man City inakuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi kuu England kutwaa ubingwa mara nne mfululizo rekodi ambayo hata kocha wa zamani wa Manchester United, mkali Sir Alex Ferguson hakuwahi kufikia.

REKODI YA MAKOCHA WENYE MAKOMBE MENGI LIGI KUU ENGLAND

🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 13 – Alex Ferguson
🇪🇸 6 – Pep Guardiola
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 6 – George Ramsay
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 6 – Bob Paisley
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 5 – Tom Watson
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 5 – Herbert Chapman
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 5 – Matt Busby

Kwa ujumla Pep Guardiola ameshinda Mataji 12 ya Ligi kwenye Ligi tano bora Ulaya wakati Sir Alex Ferguson akiwa na mataji 13 ya Ligi. Pep anahitaji kushinda ubingwa wa Ligi mara moja zaidi kufikia rekodi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Undefeated PSG ease 3-0 past Toulouse
PARIS,- Leaders Paris St Germain beat Toulouse 3-0 in Ligue...
Read more
Oshoala faced challenges while Echegini displayed exceptional...
The Nigerian Super Falcons have been eliminated from the women’s...
Read more
FOOLISH HABITS OF A BABY WIFE
15 FOOLISH HABITS OF A BABY WIFE GOING TO SLEEP IN...
Read more
THE Arne Slot era at Liverpool began...
The Dutchman, 45, penned a three-year contract at Anfield after...
Read more
ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO
HABARI KUU Raia wa Senegal leo March 24,2024 wanapiga kura...
Read more
See also  Lewis Hamilton: 'Racial element' to FIA boss' 'rapper' comment

Leave a Reply