0:00
HABARI KUU
Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozuia mwishoni mwa wiki iliyopita liliongozwa na Mwanasiasa Christian Malanga mwenye uraia wa DR-Congo (DRC) lakini makazi yake yapo nchini Marekani akiwa na Kundi la Wanajeshi waasi.
Msemaji wa Jeshi la DRC amesema Watu 50 akiwemo mtoto wa Malanga na raia wa Marekani wamekamatwa huku Malanga akiuawa katika jaribio hilo lililoanza kwa kuvamia makazi ya viongozi wakuu wa Serikali wakiwemo Rais Felix Tshisekedi, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu na pia mwanasiasa Vital Kamerhe.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, imedaiwa kuwa kwa takriban siku 3 nchi hiyo ilikuwa katika majaribio ya Mapinduzi ambayo Jeshi limeeleza kuwa limefanikiwa kuyazima na kurejesha hali ya utulivu.
Related Posts 📫
Players at the Italian club will also receive help with...
HABARI KUU
Mgombea Urais kutoka kambi ya upinzani nchini Senegal,...
LOVE TIPS ❤
Ladies keep getting confused in these areas...
Brothers, here is your own fire proof sign you have...
NYOTA WETU
Rapa wa Marekani Yung Miami anatuhumiwa kwa kumbebea...