0:00
HABARI KUU
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemzawadia Rais wa Burundi Evariste Nayishimiye ndege aina ya Tausi kama kumbukumbu ya uhusiano, urafiki na ujirani mwema baina ya nchi hizo mbili.
Burundi na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri, Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizoisaidia Burundi kupata uhuru wake.
Zawadi hiyo imekabidhiwa kwa Rais Evariste Ndayishimiye, kupitia wajumbe maalum wa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mei 19,2024.
Related Posts 📫
❤ In love matters, it's really bad to play with...
Peaty missed out on a third consecutive gold medal by...
On Wednesday afternoon (21 August), Cristiano Ronaldo took to social...
NYOTA WETU
Prodigy Endrick ambaye ni mchezaji chipukizi wa Brazil,...
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameionya Manchester United...