Watu 11 wafariki kiwanda cha Sukari

0:00

HABARI KUU

Watu 11 wamefariki Dunia kufuatia Hitilafu ya mitambo iliyotokea ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kinachohusika na Uzalishaji wa Sukari.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema

“Tukio limetokea Saa 7:30 Usiku kuamkia leo Mei 23, 2024, kulitokea hitilafu katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme. Waliofariki ni Wataalamu wa Umeme na Mitambo ambao walikuwa kwenye chumba cha kudhibiti mitambo hiyo”

Amesema kati ya waliofariki kuna Raia watatu wa kigeni kutoka Kenya, India na Brazil ambapo miili ya wote waliopoteza Maisha imehifadhiwa Hospitali ya Mtibwa Sugar huku majeruhi wawili wakiwa wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni ya Bwagala.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain...
Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa...
Read more
Late drama in Madrid as Atlético comeback...
Atletico Madrid forward Alexander Sorloth scored twice in the second...
Read more
CS Justin Muturi Calls on Kenyans to...
Public Service Cabinet Secretary Justin Muturi has called on Kenyans...
Read more
MISRI NA MAREKANI ZAKUBALI KUFUNGUA MIPAKA ...
HABARI KUU. Rais Joe Biden wa Marekani na Abdel Fattah...
Read more
MTANZANIA AHUKUMIWA MIAKA 45 KENYA
HABARI KUU. Mahakama ya mjini Mombasa imemhukumu Mtanzania Mwanamke kifungo...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  WAMILIKI WA HOSPITALI ZA BINAFSI NA SERIKALI WAKUBALIANA

Leave a Reply