ERIC TEN HAG KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED

0:00

5 / 100

Tangu mwaka 1990 miaka 34 sasa Klabu ya Manchester United haijawahi kumaliza Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa nafasi ya chini ya kushindwa kushiriki michaano ya klabu bingwa Ulaya ambapo katika msimu huo wa 1989/1990 walimaliza wakiwa nafasi ya 13.

Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, wamiliki wenza wa United, Sir Jim Ratcliffe na Ineos wameamua kuachana na Kocha Ten Hag hata kama Mholanzi huyo atafanikiwa kutwaa kombe la FA mbele ya Manchester City.

Thomas Tuchel, Mauricio Pochettino, Kieran McKenna, Thomas Frank na Graham Potter watatajwa kuchukua nafasi ya Ten Hag.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

EL CLASSICO YA KIBABE LEO KUMBEBA NANI...
MICHEZO Ligi Kuu Uhispania inaendelea tena leo Aprili 21, 2024...
Read more
SAMIA KUMLIPIA PROFESA J KUPANDIKIZWA FIGO
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Roberto De Zebri kwenye rada za Bayern...
MICHEZO Jina la Kocha Mkuu wa Klabu ya Brighton &...
Read more
WILLIAM RUTO KAMA MAGUFULI ...
HABARI KUU Rais wa Kenya 🇰🇪 Dkt. William Ruto amesema...
Read more
Newcastle United kutibua mpango wa Manchester United...
MICHEZO Mapema leo Jumatano (Mei 08) Gazeti la The Sun...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  KENYA YAOMBA DAWA ZA KIFUA KUTOKA TANZANIA

Leave a Reply