Mtibwa Sugar imeshuka daraja rasmi toka Ligi Kuu ya NBC kwenda ligi ya Championship msimu ujao.

0:00

4 / 100

Walima miwa hao wa Morogoro wameshuka daraja baada ya kufungwa magoli 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma kwenye dimba la Lake Tanganyika.

Mtigwa Sugar ilipanda daraja mwaka 1995, hivyo imecheza ligi kuu kwa misimu 29.

Ilibeba taji la Ligi Kuu mwaka 1999 na mwaka 2000, pia mwaka 2018 walichukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho na leo Mei 25/2024 imeshuka daraja.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HIZI NDIO SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA.
MAPENZI. Kuna tofauti kati ya "Mwanamke " na "Mke"....
Read more
7 MISCONCEPTIONS SINGLES HAVE ABOUT SEX AND...
Love ❤ The following are some misconception singles are having...
Read more
DP Gachagua Urges President Ruto to Appoint...
Deputy President Rigathi Gachagua has advised President William Ruto to...
Read more
TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME
1.Saving Private Ryan (1998)2. Apocalypse Now (1979)3. Full Metal Jacket...
Read more
HISTORIA YA BASSIROU DIOMAYE FAYE RAIS MTEULE...
HABARI KUU Mgombea Urais kutoka kambi ya upinzani nchini Senegal,...
Read more
See also  Banda brace sends pride into play off semis

Leave a Reply