Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa ana uhakika wa ushindi katika Mdahalo wake utakaofanyika Juni 27 dhidi ya Rais wa sasa wa taifa hilo Joe Biden.

0:00

6 / 100

Watu wa karibu wa Trump wanaamini hata kama Trump atashinda katika Mdahalo huo, lakini waendesha mashtaka wa Serikali watamjia juu kutokana na mashtaka yanayomkabili dhidi ya utakatishaji Fedha na Rushwa.

Trump analishinikiza Baraza la Wabunge nchini humo kuunda Sheria ya usalama kwa viongozi wa juu wa taifa hilo.

Trump amekuwa akizungumza na Wabunge wa GOP na wafanyakazi wake kuhusu kupitisha sheria hiyo katika muhula wake wa pili wa kuwalinda marais wa zamani dhidi ya mashtaka yasiyo ya shirikisho.

Jambo hilo limewashangaza watu wengi waliohoji maswali, ni sahihi kwa Raisi kupindisha au kutengeneza sheria mpya kwa ajili ya kujilinda yeye mwenyewe?

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA...
HABARI KUU Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka...
Read more
Parliament Vows Rigorous Vetting of Ruto's Cabinet...
Suna East Member of Parliament Junet Mohamed said that the...
Read more
PANGA SIMBA KUWAKUTA WACHEZAJI HAWA. ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu...
Read more
DCI Investigates Alleged Financing of Protests by...
The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has launched a probe...
Read more
President Ruto Vows Crackdown on 'Anarchists' Ahead...
President William Samoei Ruto has vowed to deal firmly with...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Bunge lamshushia Rungu Zito Mbunge LUHAGA MPINA

Leave a Reply