DiscoverCars.com   
                                                                   
4 / 100 SEO Score

๐—ง๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ ??

Umeshawahi kuona simu yako unapoweka sikioni wakati umepigiwa au unasikiliza voice note inajizima ? Je shida inakuwaga Nini unakuta mtu kakupigia simu unaweka sikioni kioo kinazima.

Lazima ujue kwenye simu yako Kuna kitu kinaitwa ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐˜…๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ฆ๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ฟ,ni ki hardware kidogo ambacho kinapatikana kwenye simu. Kimeundwa kwa kutumia electromagnetic utumika kupima umbali uliopo kati yako na kifaa unachomiliki.

Sababu kubwa ya kuwepo hii Proximity Sensor
๐Ÿ’จ Kulinda maisha ya betri pale unapotumia simu.
๐Ÿ’จ Kulinda simu yako isijibonyeze bonyeze kwa bahati mbaya pale unapoweka karibu na sikio lako.

Mfano unapopiga simu au kupigiwa simu na mtu akapokea na kuweka sikioni basi Sensor ya proximity ufanya kazi ya kutambua simu yako umepigiwa hivyo inatoa ulinzi kwa kuweza kuzima simu yako na kioo kuwa (off) unapoweka kwenye sikio.

Hii inakusaidia kuhusu sikio au Uso wako (shavu) kujibonyeza bonyeza Sehemu ya kukata Simu au kujiandika andika pale unapoongea na simu au ukiwa umelala.

Pia utumika kufanya auto brightness โ˜€๏ธ kwenye simu yako kwa kuweza kukupunguzia mwanga au kuongeza unapoweka simu yako karibu na sikio au usoni.

Inafanya kazi kuanzia android version 8 na kuendelea FANYA HIVI ingia setting kwenye simu yako >> Display>> Tafuta Ambient display au lock screen display >> prevent accidental touch utaamua kuweka On au Off.

.

See also  Here are some facts about planting cabbage

Related Content

1 total views , 1 views today

Love it or Not? Let us know!

Rate this

โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
Login to submit a rating.
0.0
โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
0 reviews
5
(0)
4
(0)
3
(0)
2
(0)
1
(0)

    Leave a Reply

                     
                                                                                                                                                                                                           

    Get 30% off your first purchase

    X
    Privacy Overview

    This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.