MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO

0:00

4 / 100

Klabu ya Azam FC imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji kutoka nchini Colombia Jhonier Blanco, ambaye rasmi ataanza kuonekana kikosini msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na Michuano ya Kimataifa.

Azam FC imeanza mapema usajili wa wachgezaji wake Kimataifa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea msimu ujao 2024/25, ambao unatabiriwa kuwa na ushindani mkubwa zaidi.

Kupitia Kurasa za Mitandao ya Kijamii za Klabu hiyo yenye maskani yake makuu jijjini Dar es salaam, Azam FC imeandika: GoalMachine Jhonier Blanco, ni mshambuliaji wa viwango, alikuwa mfungaji bora wa Ligi Daraja la Kwanza nchini Colombia (Categoría Primera) akiwa na Fortaleza CEIF, akifunga mabao 13, msimu uliopita 2022/23.

Blanco, alifanikiwa kuisaidia Fortaleza kupanda daraja na kuchukua ubingwa, huku akihitimisha msimu huo kwa rekodi nzuri baada ya kufunga jumla ya mabao 18 kwenye mechi 26 za mashindano yote.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MANCHESTER UNITED KWENYE MIPANGO YA KUMUUZA JADON...
MICHEZO Klabu ya Manchester United ipo tayari kupokea zaidi ya...
Read more
DON'T TAKE RELATIONSHIP ADVICE FROM THESE TYPES...
❤ DON'T TAKE RELATIONSHIP ADVISE FROM THESE TYPES OF PEOPLE A...
Read more
Mmiliki wa Magari ya SAULI afariki Kwenye...
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia...
Read more
DAVIDO REVEALS HE NO LONGER COMMUNICATES WITH...
CELEBRITIES Many Nigerians have lost hope of a budding friendship...
Read more
Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28)...
Martial raia wa Ufaransa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...
Read more
See also  ‘Monkey dey work, Baboon dey chop’ — Paul Okoye insists on P-Square split

Leave a Reply