MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kwahani Unguja Safia Iddi Mohammed, amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Khamis Yussuf maarufu Pele kuwa Mbunge wa Jimbo hilo.

0

0:00

Safia amemtangaza Pele kushinda nafasi hiyo leo Jumamosi, Juni 08, 2024 usiku katika ukumbi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Lumumba mkoa wa mjini Magharib Unguja.

Amesema kuwa mshindi huyo amepata kura 7,092 akifuatiwa na mgombea wa chama ADC kura 83 na kufuatiwa na Ada Tadea kura CUF kura 79.

ā€œ Chama CCK kura 21, Demokrasia Makini kura 14 , DP kura 7, NRA kura 8 na NLD kura 5,ā€ amesema.

ā€œKwa mujibu wa mamlaka nilionayo napenda kumtangaza ndugu Khamis Yusuf Mussa kuwa Mbunge wa jimbo la kwahani Unguja akiongoza idadi ya kura 7,092,ā€ amesema.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kwanini Mali Imesitisha Safari za Ndege?
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading