Kuanguka baada ya kushikwa na wanaume.
Kumekuwepo na dhana tofauti tofauti kuhusiana na kudondoka Kwa matiti ya mwanamke ambazo hazina ukweli ndani yake;
Kisayansi kudondoka kwa matiti kunaweza kuelezewa kama ifuatavyo.
Ukuaji wa matiti ya mwanamke huongozwa na mfumo wa taarifa za urithi (Genes) pamoja na mfumo wa vichocheo vya mwili (Homoni).
Hakuna mfumo mmoja wa ukuaji wa matiti unaofanana kwa wasichana wote. Baadhi hukua mapema na baadhi huchelewa
Kushikwa matiti na wanaume hakuwezi kusababisha kudondoka (kuanguka) kwa matiti, au hata kuongezeka ukubwa wake.
_Ukiondoa Genes na Homoni, mambo mengine kama uzee, kani ya mvutano wa dunia (Gravity).
Uzito mkubwa, umri wa ukomo wa hedhi, kuzaa watoto wengi, kupoteza sana uzito wa mwili pamoja na uvutaji wa sigara ndivyo huweza kusababisha kudondoka kwa matiti.
Related Posts 📫
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.