KWANINI VICTOR OSIMHEN AFUNGIWA KUCHEZA KANDANDA?

0:00

10 / 100

MICHEZO

Shirikisho la soka la Nigeria limekanusha kuhusu machapisho ya mtandaoni siku ya Jumatano kwamba Bodi inayosimamia Kandanda imempiga marufuku mshambuliaji wa Super Eagles, Victor Osimhen katika timu hiyo kutokana na kulikosoa shirikisho kwenye mitandao ya kijamii siku chache zilizopita.

Katibu mkuu wa NFF, Dkt. Mohammed Sanusi alieleza kushangazwa na taarifa hizo, akisema shirikisho hilo halijaagiza utaratibu wala mchakato wa kumfungia mchezaji huyo kuitumikia timu ya Taifa.

NFF inaviomba vyombo vya habari kuunga mkono chombo hicho ili kutatua masuala kwa njia chanya katika kukuza soka badala ya kufukua mzozo amabao hauna manufaa kwa mpira wa miguu.

Amesema lengo lao kwa sasa ni kusuluhisha masuala yote yanayohusu Super Eagles na kutazama mbele hasa katika kutafuta tiketi ya kufuzu kwa AFCON 2025 na mechi sita zilizosalia za kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Bayern's Kane suffers thigh injury
Bayern Munich striker Harry Kane is doubtful for Tuesday's German...
Read more
TOOLS, SKILLS AND DOCUMENTS EVERY MARKETER SHOULD...
Marketing Strategy: This document should outline the overall marketing goals and...
Read more
Liquorose sparks BBL rumours in recent video
CELEBRITIES Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside...
Read more
Antonio Conte na Napoli kama kimeeleweka
MICHEZO Wawakilishi wa SSC Napoli walikutana na Antonio Conte mjini...
Read more
ARSENAL YAREJEA KILELENI MWA EPL KIBABE
MICHEZO Arsenal wamereja kileleni kwenye msimamo wa EPL baada ya...
Read more
See also  CANADIAN SENATE COMMENDS BURNA BOY AFTER HE SOLD OUT THE BELL CENTRE TWICE

Leave a Reply