WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAGOMA SABABU IKIWA NI HII

0:00

9 / 100

Hali ilivyo katika mitaa mbalimbali ya soko kuu la Kariakoo lilipo Jiji Dar es Salaam, asubuhi ya leo Juni 24 2024, wafanyabiashara wamegoma kufungua maduka wakishinikiza serikali kutekeleza makubaliano yao waliyokubaliana mwaka jana 2023 katika kikao chao na waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Baadhi ya wafanyabiashara wamesema sababu kubwa iliyopelekea wao kufanya mgomo huu katika Soko la Kariakoo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kurudisha Kikosi Kazi (enforcement) kubwa zaidi kuliko ya awali iliyozuiliwa na Waziri Mkuu katika mkutano wa mwisho baina ya serikali na wafanyabiashara uliofanyika Mei 2023 katika viwanja vya mnazi mmoja.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Kenyan Environment CS Nominee Aden Duale Discloses...
Aden Duale, the nominated Environment, Climate Change and Forestry Cabinet...
Read more
MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA...
HABARI KUU Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa...
Read more
RIHANNA AMPA JAY Z TUZO ...
MICHEZO Jay-Z ameshinda tuzo yake ya tatu ya Emmy kwa...
Read more
JESHI LA BURKINA FASO LAUWA WATU ...
Habari Kuu Ripoti kutoka Burkina Faso zinasema kuwa jeshi limewaua...
Read more
ARAFAT HAJI AONYA MASHABIKI WA TANZANIA KUWASAIDIA...
MICHEZO Makamu wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kwanini Msanii SNURA wa Majanga Amepiga Marufuku Nyimbo zake Kuchezwa Kwenye Vyombo vya Habari?

Leave a Reply