WASAGAJI HAPA MTASUBIRI SANA

0:00

9 / 100

Alisha Lehman Raia Wa Uswisi Pamoja Mpenzi Wake Douglas Luiz Raia Wa Brazil Wameondoka Wote Kwa Pamoja Ndani Ya Klabu Ya Aston Villa Ya Uingereza Na Kujiunga Na Klabu Ya Juventus Ya Italy .

Hapo Awali Wapenzi Hao Walijiunga Kwa Pamoja Ndani Ya Klabu Ya Aston Villa Na Sasa Kwa Pamoja Wanaondoka Klabuni Hapo Na Kujiunga Na Juventus .

Alisha Kehman Ndiye Mchezaji Wa Kike Mwenye Mvuto Zaidi Na Wafuasi Wengi Zaidi Duniani Kwa Sasa.

Ikiwa Inazidi Kuaminika Na Kuleta Picha Mbaya Kuwa Katika Soka La Wanawake Kumejawa Na Wasagaji (Wapenzi Wa Jinsia Moja) Kitu Kinachopingwa Vikali Na Baadhi Ya Dini,Mataifa Na Tamaduni Basi Alisha Amekuwa Mstari Wa Mbele Kuonyesha Ni Kwa Namna Gani Si Kila Mchezaji Wa Kike Hufanya Uovu Huo …
Mfano Wa Wachezaji Hao Hapa Kwetu Ni ;-

  1. Aisha Masaka 2. Stumai Abdallah 3. Amina Bilali 4. Joyce Lema 5. Protasia Mbunda 6. Fatuma Issa 7. Asphaty Kasindo 8. Opah Clement 9. Etoo Mlezi 10. Fatuma Khatibu (Foe) 11. Asha Mwalala Na Wengineo Ambao Wamekuwa Barua Njema Sana Kwa Jamii Yetu Kuhusu Wachezaji Wa Kike …
Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MADAKTARI WAZAWA WATENGANISHA WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA
HABARI KUU Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mara nyingine...
Read more
VICTOR OSIMHEN KUAMIA LIGI YA ENGLAND
MICHEZO Licha ya kipaumbele cha Victor Osimhen msimu wa joto...
Read more
WASHITAKIWA WA UBAKAJI WAKANA MASHITAKA
DODOMA WATUHUMIWA wa ukatili wa kijinsia dhidi ya msichana mkazi wa...
Read more
What I love about Nigerians – SteffLondon
British Jamaican rapper Stephanie Victoria Allen, popularly known as SteffLondon,...
Read more
Davido snubs his close friend Cubana Chief...
David Adeleke, professionally known as Davido, has surprised many by...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Paris Olympics organisers said on Monday they have fixed early logistical teething problems after several delegations complained about food and transportation at the Games.

Leave a Reply