CHALAMILA aupiga Mwingi Kwa Wafanyabiashara Soko la Kariakoo

0:00

13 / 100

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameagiza kuondolewa majina 891 ya wafanyabiashara yaliyowekwa kwenye mtandao wa shirika la Masoko Kariakoo mpaka pale vyombo vya dola vitakapojiridhisha na majina hayo.

Hatua hiyo inakuja baada ya wafanyabiashara zaidi ya 800 waliokuwepo sokoni hapo kabla ya soko kuungua Julai 2021 kuandamana jana Alhamis, Julai 11,2024 kwenda ofisi za CCM Lumumba kupinga kutorejeshwa.

Katika orodha hiyo, wafanyabiashara 891 kati ya 1861 ndio walioelezwa kuwa na vigezo vya kurejea. Uamuzi huo uliwafanya kujitokeza katika viwanja vya mnazi mmoja kuhakikiwa na baada ya kutoridhishwa ndipo wakaandamana.

Chalamila ametoa maagizo hayo leo Ijumaa Julai 12,2024 alipozungumza na uongozi wa shirika la Masoko Kariakoo katika ofisi ya Shirika la Masoko Magogoni.

Aidha Chalamila ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuchunguza malalamiko ya wafanyabiashara kuwa majiana hayo yamewekwa kwa njia za rushwa huku akiwataka viongozi wa shirika la Masoko kujitafakari.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

DALILI ZA MWANAMKE KUFIKA KILELENI.
1) Uke hubana na kuachia. Kama ni uume au ni kidole...
Read more
MFAHAMU MSANII AYRA STARR WA NIGERIA
MICHEZO/BURUDANI Staa mwimbaji wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Ayra Starr...
Read more
WILLIAM RUTO KUMUIGA SAMIA KWENYE SOKA ATOA...
MICHEZO Rais William Ruto ameahidi kujitolea kufufua soka la Kenya...
Read more
Usajili wa Chama Yanga wamuibua Molinga
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi alioufanya...
Read more
Kwanini Mashabiki wa Yanga ni Wagumu Kwenda...
Mpaka sasa kwa mujibu wa N-card, hizi ndio tiketi zilizouzwa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAASKOFU WATEMA NYONGO

Leave a Reply