Kwanini Mali Imesitisha Safari za Ndege?

0:00

9 / 100

Mashirika ya ndege ya Mali yamesitisha safari za ndani na za kimataifa za ndege kutokana na uhaba wa mafuta.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Kanali Yahya Toure, amesema hali hiyo “inaweza kuendelea hadi Julai 15,” akisisitiza kwamba mashirika ya ndege lazima yawajulishe abiria kuhusu kupanga upya safari zao au kutafuta njia mbadala.

Kwa mujibu Toure, kusimamishwa kwa safari za ndege kunasababishwa na uhaba wa mafuta ya ndege aina ya A1 katika ghala la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Modibo Keita.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

KAMANDA WA POLISI ARUSHA APONGEZWA KWA KUPANDISHWA...
HABARI KUU Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda...
Read more
50 CENT BADO ANAMSHAMBULIA MICHAEL JACKSON ...
Michezo. Mwaka 2019 ,Rapa na Mwigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson...
Read more
LAWS TO WIN IN LIFE
TIPS 6 LAWS TO WIN IN LIFE 1.Stop telling people your plans When...
Read more
SABABU BILIONEA HARRY ROY VEEVERS KUTOKUZIKWA KWA...
HABARI KUU MJANE wa marehemu Harry Roy Veevers, raia wa...
Read more
Historia ya Kuanzishwa kwa CHADEMA Na Harakati...
MAKALA Tuliokuwepo tutakumbuka, mwaka ule wa 1992, kundi la Masetla, Wafanyabiashara,...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MACKY SALL KUONDOKA MADARAKANI

Leave a Reply