π”π“πŽπ…π€π”π“πˆ 𝐖𝐀 π˜π€ππ†π€ 𝐍𝐀 𝐅𝐂 𝐀𝐔𝐒𝐁𝐄𝐑𝐆 πŠπ–π„ππ˜π„ 90′

0:00

10 / 100

Vitu vitano vinavyo itofautisha yanga na FC ausberg ni.

  1. Match fever.
    Kwa dakika 45′ yanga walikuwa wapo chini kutokana na homa ya MECHI. Yanga walichelewa kuingia mchezoni kutokana labda na utofauti wa ukubwa wa hizi timu mbili.
  2. Constellation (mgawanyo wa majukumu)
    Kipindi Cha kwanza timu ilikuwa kama Kuna sehemu majukumu hayakutekelezwa vizuri hasa viungo wa chini, sure boy na mud, hii imechagizwa na umahili wa viungo wa juu wa ausberg.
  3. Technical abilities.
    Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na team ni mkubwa kwa ujumla kulinganisha na yanga. Namna ya kuchora mistari ya hatari na kutegua mitego kwao sio shida.

4.Match intensity and endurance.
Hii ni running with a ball or without a ball, yanga Kuna muda upepo ulikuwa unakata. Uvumilivu kwenye MECHI ni kitu kikubwa mno. Ausberg walitumia Kasi ya bundasliga wakati yanga Bado wanajitafuta kufikia Kasi ya Al Ahaly au Raja Casablanca.

  1. Creation and exploitation of space.
    Yanga walitengeneza nafasi ila hwakuzitumia. Ausberg wamepiga shot sahihi Moja kwa kipindi Cha pili na ndio goli la pili. Yanga wametengeza nafasi nyingi kuliko Ausberg lakini imetumika Moja tu.

Yanga mwaka huu wanafanya pre season Bora zaidi, huenda wakawa na msimu Bora zaidi. Yanga atacheza TS Galaxy July 24, na baadae Kaizer Chiefs July 28, lakini atakuwa na mchezo siku ya mwananchi na August 8 zaidi ya mnyama.
Ndani ya siku 18 atakuwa amecheza MECHI 5 za kiwango kikubwa.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts πŸ“«

ABIRIA WALIVYOKWEPA VIFO,LORI NA MABASI YAKIGONGANA ...
MAGAZETI
See also  WACHEZAJI CHELSEA SABABU YA POCHETTINO KUWA SALAMA
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
MAGAZETI YA LEO 27 MEI 2024
Read more
Sea water boat reflection red vehicle
Nullam eget felis eget nunc lobortis mattis. Pharetra diam...
Read more
UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY...
NYOTA WETU ... 🧠 𝗔𝗨 π— π—œπ— π—œ π—‘π——π—œπ—’ π—¦π—œπ—˜π—Ÿπ—˜π—ͺπ—œ ?Nimewasikia wachambuzi...
Read more
BUNGE LAPIGA MARUFUKU UVAAJI KAUNDA SUTI ...
MASTORI Bunge la Kenya limepiga marufuku uvaaji wa kaunda suti...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply