Magoma na Yanga Ngoma Nzito

0:00

9 / 100

Mzee Magoma ameamriwa na mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kuilipa klabu ya Yanga kiasi kisichopungua Tsh 70 Million za fidia ya kesi ambayo ameshindwa leo 9 Aug 2024.

Pia, mjumbe wa kudumu wa bodi ya wadhamini wa Yanga SC, mke mstaafu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Bi Fatma Karume amemfungulia kesi ya jinai mzee magoma kwa kufoji saini yake.

ℹ️ Iwapo akikutwa na hatia ya kosa hilo la jinai adhabu yake ni miaka (7) jela.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Suna East Residents Demand Urgent Road Repairs
The residents of Suna East Constituency in Migori County have...
Read more
WANAWAKE WANAOIBEBA LUGHA ADHIMU YA KISWAHILI ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
YANGA KUFA KUPONA LEO ...
MAGAZETI VICHWA VYA MAGAZETI VYA TANZANIA.
Read more
Mchekeshaji maarufu aapishwa kuwa Makamu wa Rais...
Mchekeshaji maarufu aliyegeukia siasa, Dkt. Micheal Usi ameapishwa kuwa Makamu...
Read more
SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE...
MICHEZO Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ndiyo wapinzani wa Yanga...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAURICIO POCHETTINO APONGEZWA NA WAMILIKI WA CHELSEA

Leave a Reply