0:00

Dar es salaam

Hujambo ? Karibu kwenye kurasa za mbele za MAGAZETI YA leo ya Tanzania kwa kusoma tu vichwa vya magazeti haya.

Magazeti karibu yote ya hivi leo yana habari kuhusu Upandikizaji wa nguvu za kijinsia hasa kwa wanaume na ukiacha habari hiyo kuna habari kuhusu kauli ya Msajili wa vyama vya siasa Jaji Fransis Mtungi kutoa onyo kali kuhusu vyama vya siasa.

Kwenye KURASA za nyuma zinazoandika habari za michezo ,taarifa kubwa ni kuhusu Siku ya simba (SIMBA DAY) inavyoendelea kuelekea kilele chake siku ya tarehe nane (8).

VICHWA VYA MAGAZETI VYA HIVI LEO.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RAIS SAMIA ANAJENGA ALIPOBOMOA MAGUFULI
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Please disable your adblocker or whitelist this site!

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading