GUARDIOLA KUMRITHI SOUTHGATE ENGLAND

0:00

Michezo

Chama cha soka England (FA) kinatazamia kumpa kandarasi Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola kuwa kocha Mkuu wa England baada ya boss wa sasa Gareth Southgate.

Imeripotiwa kuwa viongozi wa chama cha soka England yaani FA wanaamini kuwa Southgate anaweza kuchagua kuachia ngazi baada ya mashindano ya Euro 2024 huku mkataba wake ukitamatika mwishoni mwa 2024.

Ripoti zinadai kuwa FA inamtazama kocha Pep kama chaguo sahihi kwenye orodha ya makocha wanaopigiwa chapuo kumrithi Southgate. Hata hivyo, kikwazo kikubwa kinasalia kuwa mkataba wa Guardiola na waajiri wake wa sasa timu ya Manchester city, ambao unatamatika 2025.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MAMBO 5 USIYOYAFAHAMU KUHUSU SIKU YA WANAWAKE...
MAKALA Kila mwaka tarehe 8 Machi ni Siku ya Kimataifa...
Read more
Zimbabwean government imposes a ban on radio...
In a significant move, the Broadcasting Authority of Zimbabwe (BAZ)...
Read more
Bunge lamshushia Rungu Zito Mbunge LUHAGA MPINA
HABARI KUU Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amefungiwa kuhudhuria vikao...
Read more
MBARONI KWA KUTAPELI PADRI AKIJIFANYA OFISA WA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
MTAZAMO WA BABA ASKOFU BENSON BAGONZA JUU...
NYOTA WETU MUUNGANO WETU: Ndoa au Koti?Miaka 60 ya Muungano...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RAMADHAN BROTHERS WASHINDA AMERICA'S GOT TALENT

Leave a Reply