Magazeti
Magazeti ya leo yana habari kuhusu Kamchape alivyoleta taharuki kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika ,watu wataharuki wakihofia hatima ya maisha yao kwenye Mkoa wa Kigoma.
Habari kuu nyingine ni kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Mchakato wa katiba, ambapo ametaka kwanza Watanzania wapewe elimu ya katiba.
HIZI NI PICHA ZA MAGAZETI YA LEO
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.