MAMBO YA KUZINGATIA KIJANA UNAPOTAKA KUOA.

0:00

6 / 100

Leo sina maneno mengi. Kijana Sasa umekuwa Mkubwa, imefikia hatua unàtaka kuanzisha familia. Unahitaji Kuoa.

Yafuatayo ni mambo ya kuyazingatia unapotaka Kuoa;

  1. KAZI
    Kabla hujaoa lazima úwe na shughuli yoyote inayokuingizia kipato. Íwe umeajiriwa au umejiajiri.
    Hutoweza kuishi na Mkeo kama Huna kipato chochote.
    Upendo NI damu kwèñye Ndoa na ni muhimu kwèñye Ndoa lakini KAZI ni kama Moyo unaosukuma damu kwèñye viungo vya Mwili(nyumba Yenu).

Kama Huna Kazi haushauriwi ukaingia ndoani. Hutofurahia

  1. MSIMAMO NA MAAMUZI BINAFSI JUU YAKO NA FAMILIA YAKO
    Kama bado Wazazi wako wanakuamulia ishu nyeti, Huna Msimamo wako binafsi kuhusu Maisha yako. Kama ndugu, jamaa, ràfiki wanakuamulia kwèñye Maamuzi yako. Hupaswi kuingia kwèñye Ndoa.

Ndoa inahitaji Mwanaume aliyekomaa àmbaye anamsimamo na Maamuzi binafsi. Kwa level ya nchi tunaita Sovereignty. Yàani uwezo wa nchi kujitawala na kujiamulia mambo yake yenyewe pasipo kuingiliwa.

Kama wewe ni wale ambao Mpaka Mama aseme tunawaita Watoto wa Mama. Basi Ndoa haikufai.

Ukiwa kama Mwanaume lazima Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki waelewe na kuheshimu Msimamo na Maamuzi yako kama wewe unavyoheshimu Msimamo na Maamuzi Yao.

  1. LAZIMA UWE NA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU YALITO SAHIHI
    Kama Huna uwezo wa kumuacha umpendaye hata akikufanyia upuuzi ujue bado huna VIGEZO vya Kuoa na kuanzisha familia.
    Mwanaume kama Mume lazima úwe na uwezo wa kumuacha yeyote àmbaye ataenda kinyume na Sheria zako hasa zile zinazovunja heshima yako kama mwanaume.
    Mchumba wako ajue Kabisa kuwa kûna mipaka akifika hutokuwa na jinsi zaidi ya kufanya Maamuzi magumu yaliyosahihi ya kumuacha.
See also  JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA?

Mwanaume atateseka Kwa kuitunza familia yake, kuhakikisha inakuwa salama lakini kama Mwanaume Kamili hawezi kuteseka Kwa kuvumilia utovu wa nidhamu wa Mkewe.
Huwezi jiita Mwanaume Kwa kumvumilia Mkeo akiwa anakuvua nguo na kukukosea heshima.

  1. UWEZO WA KUELEWA SAIKOLOJIA YA WANAWAKE.
    Ukishajua angalau Kwa kiwango cha Kawaida nini Wanawake wanahitaji. Jinsi Wanawake wanavyoreact, Vitu àmbavyo Wanawake wanapenda na wasivyovipenda.
    Ukishajua namna ya kukabiliana na tàbia za ghafla za kushtukiza za Wanawake Basi unaweza ukajiingiza kwèñye Ndoa.
  2. KUTOTOA HUKUMU KWA KUSIKILIZA MANENO YA MWANAMKE AU KUANGALIA USO WAKE.
    Kama unauwezo wa Kutoa hukumu pasipo kumsikiliza Mwanamke au kuutazama uso wake Basi ni wazi umeshakuwa Mtu mzima unayestahili Kuoa.
    Kamwe Usitoe hukumu yeyote Kwa kusikiliza maneno ya Mkeo pekee au kumtazama usoni pekee. LAZIMA ufanye uchunguzi Kwanza.
    Wengi waliofanya Maamuzi Kwa kusikiliza Wanawake au Kwa kutazama nyuso za Wanawake walianguka.

Hata kama Mwanamke analia Kwa Kutoa kamasi. Kama hukuwepo na hujui chanzo cha tukio lote usijiingize harakaharaka. Utapotoka.

  1. KUISHI BILA KUTEGEMEA USHAURI WA MWANAMKE
    Kama unauwezo wa kuishi bila kutegemea ushauri wa Mwanamke Basi wewe unaweza ukaoa Vizuri tuu.
  2. KAMA UNAWEZA DRAMA(KU-FAKE) NA MICHEZO YA KISANII.
    Kama wewe ni Mtu usiyetabirika, unayeweza kubadilika badilika kama muigiza Filamu. Leo upo hivi Kesho uko vile. Kesho kutwa uko kama Panya, Kesho kutwa kama Paka, mtondogoo kama Mjusi Mara bundi. Basi wewe upo tayari kuishi na Mwanamke.

Kikawaida Wanawake wènyewe hubadilika badilika na hufanya juu chini wakujue na kukuingiza kwèñye mifumo Yao na kuundia Formula íwe NI πdh au Nusu mara kimo mara kitako.
Wakishajua how to drive your behaviour and intelligence formula umekwisha.

  1. UWE UNA SUSPECT KILA KITU. YAANI USIAMINI CHOCHOTE
    Kuishi na Mwanamke hupaswi kutumia Imani Bali AKILI.
    Kama wewe siô Mtu wa Kuamini Amini mambo kirahisi Basi unaweza kuingia ndoani na kuishi na Mwanamke.
  2. USIYETEGEMEA VIKAO KUFANYA MAAMUZI na KUTATUA MATATIZO YENU
    Hupaswi kuwa Mtu wa kuombaomba ushauri au Kúpiga piga Simu kutatua matatizo Yenu.
    Kitu kidôgo umepiga Simu.
    Kitu kidôgo umesema huku na huku.
    LAZIMA ujue kutatua matatizo yako mwenyewe Kwa Usahihi.
See also  Randhir Singh Set to be Elected as First OCA President from India

Mke kama NI mjeuri mpe maelekezo kuwa hutaki ujeuri na haupo tayari kuendelea kuwa na Mwanamke jeuri hivyo NI hiyari Yake achague ujeuri wake au Akuchague wewe
Siô unapiga Simu kama Mjinga ati unashtaki sijui Kwa Mamaako sijui Kwa Mama Mkwe kuhusu ujeuri wa Mkeo au dharau za Mkeo hivi kama hakusikilizi wewe atawasikiliza hao àmbao hawajamuoa?

Kama kûna Mtu íwe ni Mzazi wake au Mzazi wako anayemsikiliza zaidi kuliko wéwe mfukuze aende akaishi Huko àmbapo anawasikiliza. Tafuta Mwanamke Mwingine.

Huwaga nashangaa kusikia Vikao vya kijinga jinga àmbavyo havina kichwa Wala miguu.
Mwambie Mkeo Mimi tàbia hizi ukifanya sitakuvumilia na utaondoka mapema Kabisa bila kujali Ndoa ilifungwa na Papa au mufti au ilifungwa na Mkûu wa serikali.
Bila kujali tulizaa Watoto ishirini au hatukuzaa. Nitakufukuza.

  1. UJUE KUTENDA HAKI
    Kama hujui kutenda Haki na ni mbinafsi mwenye kujipendelea Basi unaweza ukaoa.
    Kama Huwezi kutenda Haki Usioe

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Great Blue Heron working on its catch
Ac tortor dignissim convallis aenean et tortor at. Nisl...
Read more
Kurasa za Magazeti ya leo
Read more
7 WAYS TO ATTRACT A GOOD HUSBAND
LOVE TIPS ❤ Last two weeks or thereabout, I read...
Read more
Morocco is set to raise the bar...
…Will deliver a historic AFCON with a proven track record,...
Read more
MPANGO WA PARIS ST-GERMAIN KWA VICTOR OSIMHEN...
MICHEZO Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris St-Germain wamepaga kulipa...
Read more

Leave a Reply