MAKALA Utazifahamu changamoto kuu zilizo mbele yako. Utajua chanzo au vyanzo vyake Kwa uchache. Utajua namna ya kukabiliana nazo. Mimi nitakueleza, Nisikie. Fungua macho na Maskio yako. Basi hapo utakapojitambua, ukaelewa Maisha ni yako mwenyewe. Ukajua hakuna Mwingine zaidi yako atakayekukomboa. Lakini ukijua Watu wanaokuzunguka ni kama kete au ngazi Ambazo zitakuwezesha kupanda au zitakazovunjika…
Related Posts 📫
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.