SIR FERGUSON AFIWA NA MKEWE DiscoverCars.com

0:00

Michezo

Meneja wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amefiwa na mke wake Lady Cathy Ferguson ambaye ameaga Dunia akiwa na umri wa miaka 84 na kuacha watoto watatu ,wajukuu 12 na kitukuu 1.

Katika taarifa yake leo Oktoba 6,2023 Manchester United imesema,

“Kila mmoja ndani ya Manchester United anatuma salamu za rambirambi kwa Sir Alex Ferguson na familia yake kwa kuondokewa na Lady Cathy “

“Kama ishara ya heshima, wachezaji wetu watavaa kitambaa cheusi wakati wa mechi ya Jumamosi dhidi ya Brentford “

Imesema taarifa hiyo.

Bendera kwenye uwanja wa Old Trafford zimeshushwa nusu mlingoti huku timu za wanawake na wanaume za klabu hiyo zitakazocheza mwisho wa wiki hii zitavaa vitambaa vyeusi kama ishara ya kuomboleza msiba huo .

Sir Alex Ferguson aliiongoza Manchester United kwa miaka 26 na inatajwa Bodi ya Manchester United iliwahi kuwa na mgogoro na Sir Alex Ferguson mnamo mwaka 2001 ambapo Sir Alex alikuwa tayari kuachia ngazi kama kocha lakini kwa ushawishi wa mke wake aliamua kusalia Old Trafford mpaka mwaka 2013 alipotangaza kustaafu.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MFAHAMU ABRAHAM MGOWANO MTANZANIA ALIYEFARIKI AKIWA GOOGLE
HABARI KUU Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi...
Read more
MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE
HABARI KUU Mbali ya miili saba ya wanafunzi wa Shule...
Read more
HOW TO LOVE YOUR HUSBAND
LOVE ❤ HOW TO LOVE YOUR HUSBAND1. Harden his penis,...
Read more
STRATEGIES TO SELL SAVINGS AND INSURANCE POLICIES
BUSINESS Marketing and finding clients for a savings and insurance...
Read more
WHAT YOU SHOULD NOT DO AFTER YOUR...
RUNNING INTO ANOTHER RELATIONSHIP
See also  SABABU TFF KURUDISHA LIGI YA MUUNGANO
Don't try to use a new relationship...
Read more

Leave a Reply