MISRI NA MAREKANI ZAKUBALI KUFUNGUA MIPAKA

0:00

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

HABARI KUU.

Rais Joe Biden wa Marekani na Abdel Fattah al-Sisi wa Misri wamekubali kufungua kivuko cha Rafah ili kuruhusu hadi lori 20 za misaada kuingia Gaza.

“Rais wa Misri Abdel Fattah al-sisi na Rais wa Marekani Joe Biden wamekubaliana juu ya utoaji endelevu wa misaada ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza kupitia kituo cha Rafah”.

Alisema msemaji wa Rais Ahmedy Fahmy katika taarifa yake.

Mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yalisema msaada huo unaratibiwa na mamlaka husika katika nchi hizo zenye makundi ya kimataifa ya kibinadamu, chini ya umoja wa Mataifa.

Usafirishaji huo labda hautapita Ijumaa, Biden alisema, akitoa mfano wa ukarabati wa barabara.

“Watatengeneza barabara, wanapaswa kujaza mashimo ili kupata lori ziweze kupita.Na hilo litafanyika- wanatarajia itachukuwa takribani saa nane (Alhamisi) . Kwahiyo kunaweza kuwa hakuna kitu kinachoendelea hadi…pengine hadi ijumaa”.

Aliwaambia wanahabari siku ya jumatano.

Aliongeza kuwa lori hizo 20 ziliwakilisha “hatua ya kwanza ” lakini akasema “lori 150 hivi” kwa jumla zilikuwa zikisubiri. Ikiwa wale waliruhusiwa kuvuka au la itategemea “jinsi itakavyokuwa”.

Mashirika ya kimataifa yanasema hitaji la misaada ni jambo la dharura.

Related Posts 📫

THESE ARE PROFITABLE DIGITAL SKILLS YOU CAN...
BUSINESS Arbitrage Blogging: Arbitrage blogging encompasses elements of content creation,...
Read more
MAMBO 5 PEKEE AMBAYO MWANAUME ANAHITAJI KWENYE...
MAPENZI 1. AMANI. Jambo kubwa ambalo unaweza kumpa mwanaume sio...
Read more
Maduka Okoye's unbeaten run ends As Roma...
AS Roma secured their first win of the Serie A...
Read more
Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza...
NYOTA WETU
See also  MV MALAGARASI YAPATA ITILAFU
POTOFU HUZAA POTOSHI au POTOSHI HUZAA POTOFU?Dayosisi 7...
Read more
ASAKE IS IN THE ILLUMINANT
CELEBRITIES ASAKE GIRLFRIEND " I left Asake because he wanted...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply