LEMA AMTUPIA KIJEMBE RAIS SAMIA

0:00

HABARI KUU

Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Instagram, amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kujihadhari na wapambe na machawa.

“Mheshimiwa nakusalimu. Wewe ni Rais wa nchi,ikiwa utaongezewa na Urais wa taifa kama Marekani halafu utajiri wako ukawa kama wa Elon Musk na Jeff Benzos ,ukapata na fursa ya kujenga nyumba ya kisasa katika sayari ya Mars ambako bomu la Nyuklia haliwezi kuathiri .

Pia watoto wako wote wakamiliki majengo mengi kama ulivyo mji wa New York na Paris na Kisha wakawa wamiliki wa share za mabenki makubwa Duniani, unafikiri hayo yanatosha kuwa mafanikio kama kuishi kwako kunaongeza huzuni kwa maisha ya watu?

Maisha yanaenda kwa kasi sana, unajua ni juzi tu Magufuli ,Mkapa na Nyerere walikuwepo kabisa na walikuwa na wapambe wengi sana. Jiadhari na wapambe na machawa nafikiri wao kwasasa wanaweza kuwa mlango wa Jehanum kuliko dhambi nyingine yeyote, wako ambitious na lunch,school fees za watoto wao kwa gharama yoyote ile na urban lifestyle kuliko wema “

Ameandika Godbless Lema.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

THOMAS TUCHEL NA DADA WA KAZI ...
MASTORI Wakati kocha Thomas Tuchel anaajiriwa ndani ya matajiri wa...
Read more
Sababu Zinazochangia Shahawa kumwagika baada ya tendo...
Mbegu za kiume (manii) kumwagika baada ya kumaliza tendo la...
Read more
Kauli tata za Rais Samia Suluhu
Jamhuri Ya Samaki… Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana. Nikiri sijawahi...
Read more
Kenyan Parliament Resumes from Recess with Debate...
The Kenyan National Assembly has returned from a three-week recess,...
Read more
VAN GAAL AIBUA SIRI NZITO KWENYE KOMBE...
Michezo
See also  NAPE KUSHUGHULIKA NA WALIOZUSHA KIFO CHA MPANGO
Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi , Louis...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply