JONAS MKUDE AMSHTAKI MO DEWJI

0:00

NYOTA WETU

Mchezaji wa klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam akiidai kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya shilingi bilioni 1 kwa kutumia picha zake kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram na Twitter bila idhini yake.

Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akidai fidia hiyo kwa kuvunja haki zake za msingi.

Jonas Gerald Mkude amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba aliyoitumikia kwa misimu 12.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

The Premier League have officially announced the...
The Nike Flight Premier League ball will enjoy its first...
Read more
MAMBO YA KUFANYA KUZUIA MSHITUKO WA MOYO
Ikiwa Zaidi ya watu milioni 17.5 Duniani hufariki kwa sababu...
Read more
Peter Obi has responded to Pres.Tinubu’s stumble...
Following President Bola Tinubu’s tumble at the 2024 Democracy Day...
Read more
OVERCOMING SEXUAL SIN
1) Be in a godly environment'The parable of the sower',...
Read more
WANANCHI WA SINGAPORE WAKERWA NA UJIO WA...
NYOTA WETU Mwanamuziki Taylor Swift alipokea ofa kubwa ambayo haijawekwa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  STORI YA MIKE TYSON KUKAA MIAKA 5 BILA KUFANYA MAPENZI

Leave a Reply