WATANZANIA WAWILI WATEKWA NA HAMAS

0:00

HABARI KUU

Watanzania wawili na raia mmoja wa Afrika kusini ni miongoni mwa watu 224 wanaosadikiwa kutekwa na kundi la HAMAS baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, Serikali ya Israel imeeleza hivi leo.

Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua amesema kuwa ofisi yake imepata uthibitisho huo kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia hao wawili wa Tanzania ni mateka wa HAMAS .

Hata hivyo,Balozi kallua hakutaja majina ya watu hao.

Balozi Kallua pia hakuthibitisha kama ndio walewale wanafunzi wawili ambao awali ofisi yake ilisema hawajulikani walipo


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  JE TIMU YA CHELSEA INAENDA KUTAWALA SOKA ?
Don't miss out!
Invalid email address