WENYE MATATIZO YA MOYO KUKUMBWA NA MAGONJWA YA AKILI

0:00

HABARI KUU

Utafiti mpya wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) uliochapishwa Oktoba 17,2023 katika jarida la kisayansi la kimataifa la Sage ,umeonesha wagonjwa wa moyo waliowekewa Betri ya moyo (pacemaker) wamepata hatari ya kukumbwa na matatizo ya akili.

Utafiti huo ulihusisha wagonjwa 6 waliofanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa huitwao Cathlab na baada ya kugundua hilo waliwafuata Mabingwa wa mfumo wa akili ili kutibu tatizo hilo.

Mkuu wa idara ya utafiti ya JKCI , Dkt. Pedro Pallangyo anasema

“Tumegundua wagonjwa wote walipata changamoto ya afya ya akili kwa maana kuwa hawakuwa wamejiandaa kuwekewa vifaa vya kusaidia moyo na badala yake wakawa na dalili za magonjwa ya mfumo wa akili “

Akitolea mfano, Dkt. Pallangyo anasema hivi karibuni mgonjwa aliyewekewa betri ya moyo alijirusha kutoka ghorofani na kujiua.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

AISHA MASAKA MTOTO WA KIMASIKINI NA HADITHI...
Kuna ugumu wa maisha ya Kitanzania alafu kuna ugumu wa...
Read more
RWANDA NA KENYA WANA MGOGORO HUU ...
HABARI KUU. Mamlaka inayohusika na mambo ya Afya ya nchini...
Read more
PAUL ALEXANDER BINADAMU ALIYEISHI NA MAPAFU YA...
Paul Alexander, alikabiliwa na changamoto nyingi za kiafya tangu alipozaliwa...
Read more
ALIYEKUA MKUU WA MKOA AKAMATWA KWA KUMLAWITI...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata aliyekuwa Mkuu wa...
Read more
Stefano Pioli kocha mkuu Al Ittihad
Baada ya kufutwa kazi kama kocha mkuu ya AC Milan,...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MUSUKUMA amshukia Luhaga Mpina Bungeni

Leave a Reply