USIPOMPELEKA MTOTO SHULE UNAFUNGWA

0:00

HABARI KUU.

Bunge la Afrika Kusini limepitisha muswada mkubwa wa elimu ambao utaweza kuwahukumu wazazi kifungo cha jela iwapo watoto hawatokuwa shule.

Chini ya muswada huo wazazi wataweza kufungwa hadi miezi 12 ikiwa watoto wao watakuwa ni watoro au hawajaandikishwa shule wakati wamefika umri wa kwenda shule.

Sheria hiyo itapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni.

Mabadiliko haya ni makubwa hayajawahi kutokea katika sheria za elimu tangu kuisha kwa mfumo wa ubaguzi wa rangi nchini humo mwaka 1994.

Chama kinachoongoza cha Africa National Congress (ANC) kimesema muswada huo utabadili mfumo wa elimu na utaweza kushughulika na changamoto za sasa na baadaye.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

West Ham are lining up Manchester United's...
The 26-year-old has made 190 appearances for the Red Devils...
Read more
15 THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE...
Do you really desire a healthy marriage? Are you really sure? Are...
Read more
Dinamo Zagreb fight back to crush Slovan...
BRATISLAVA, - Dinamo Zagreb eased to a convincing 4-1 victory...
Read more
Zubby Michael finally mourns Junior PopeZubby Michael...
Read more
Bilionea Larry Connor aandaa mpango wa kuzama...
Bilionea Larry Connor wa Marekani anajipanga kwenda chini ya Bahari...
Read more
See also  MUHIMBILI-MLOGANZILA YAINGIZA BILIONI 8 KISA UREMBO

Leave a Reply