0:00
NYOTA WETU
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Leicester City na Chelsea, Danny Drinkwater ametundika daluga akiwa na umri wa miaka 32.
Danny Drinkwater aliyeanzia kalia yake ya kusakata kandanda kwenye Academy ya vipaji ya Manchester United alikuwa mmoja wa nyota wa Leicester City tegemeo waliochukuwa ubingwa kwa kushangaza wengi kwenye ligi ya England msimu wa 2015- 16.
Related Posts 📫
MAKALA
1.Rolls-Royce Droptail inaongoza katika orodha ya magari yanayouzwa bei...
NYOTA WETU.
Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta alipotembelea huko siku...
HABARI KUU
Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani, Ali Bongo pamoja...
NOTTINGHAM, England, 🏴 - Nottingham Forest made the most of...