NYOTA WETU
Ikumbukwe Januari 8,2010 Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Togo ilishambuliwa na magaidi katika eneo la Kabinda wakati ikiwa njiani kwenye basi ikielekea Angola kuanza michuano ya AFRICON.
Watu watatu walikufa huku mlinda mlango Kodjovi Obilale akipigwa RISASI ya mgongo iliyomlazimu kuishi nayo mpaka sasa.
Madaktari walisema kuitoa kunaweza kumsababishia matatizo zaidi.
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.