MCHEKESHAJI WA NIGERIA “MR IBU” APATWA NA MKASA MZITO

0:00

NYOTA WETU

Mchekeshaji nguli wa Nigeria, John Okafor “MR IBU” amekatwa mguu jana baada ya kufanyiwa upasuaji mara saba na sasa na sasa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi “ICU”.

Taarifa iliochapishwa na binti yake kwenye ukurasa wake wa Instagram imewaomba Wanigeria wote wamuombee dua mbali na michango ya pesa za matibabu.

“Kufikia saa saba za mchana jana, Baba yangu amefanyiwa upasuaji mara saba,hata hivyo hili kuokoa maisha yake na kuongeza uwezekano wote wa kupona,ilibidi mguu wake mmoja ukatwe.

“Tukio hili limekuwa gumu kwetu sote lakini imetubidi tukubali ukweli huu mpya wa hali ya baba ili kumuweka hai”.

Mr IBU alianza kuugua tangu Oktoba mwaka huu na alionekana kwenye video moja akiwa amelazwa hospitalini,akiomba msaada wa kifedha.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WAUMINI WALALAMIKA KUNYANYASWA KINGONO KANISA LA TB...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
VIWANJA 10 BORA VYA NDEGE AFRIKA
MAKALA Kwa mujibu wa Jarida la Skytrax World Airport Awards limetoan...
Read more
JINSI YA KUEPUKA MADHARA YA FIGO KUHARIBIWA...
Kulingana na data za Shirika la Afya Duniani na Chama...
Read more
WHY MARRIAGE IS FOR PEACEMAKERS
LOVE ❤ 1. Marriage is for two people who would...
Read more
Food vendor turned heads as he commemorating...
A 25-year-old man from Nigeria has caught the public's eye...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  TOP 60 MILITARY MOVIES OF ALL TIME

Leave a Reply