MORGAN FREEMAN AFICHUA SIRI YA KUVAA HERENI

0:00

NYOTA WETU.

Muigizaji wa filamu Morgan Freeman afichua siri za kuvaa hereni zake za dhahabu alizo zivaa kwa miaka mingi.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Freeman amemjibu shabiki kwa kumwambia

“Nimekuwa nikiulizwa kuhusu hereni hizi kila wakati, ukweli ni kwamba, hereni hizi zina thamani ya kutosha kwa mtu kuninunulia jeneza ikiwa nitakufa ugenini . Ndio maana mabaharia walikuwa wanavaa na ndio maana navaa.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  KWA EDEN HAZARD PESA SIO KIPAUMBELE
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading