BABA WA LUIS DIAZ AFUNGUKA MAZITO ALIYOPITIA DiscoverCars.com

0:00

NYOTA WETU.

Luis Manuel Diaz, Baba mzazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz amezungumza kwa mara ya kwanza tangu aachiliwe huru.

Akiongea kwa hisia kali na hata kulia mzee Diaz (58) alisema

“Walinilazimisha nitembee sana ,bila kupumzika vizuri,tukiwa milimani kwenye mazingira magumu sana.

Nisingetaka mtu yeyote awe kwenye mazingira ya kule milimani niliopitia mimi.

Ulikuwa wakati mgumu sana kwangu,sijalala vizuri kwa muda wa siku 12.

Watekaji walinihimiza kutulia ,japo walinihudumia vizuri lakini sikuwa na raha.

Alisema mzee Diaz huku akilia kwa uchungu.

Mzee Diaz na mke wake Bi. Cilenis Marulanda walitekwa mnamo Oktoba 28 katika mji wa Barrancas Colombia 🇨🇴.

Polisi walifanikiwa kumuokoa mama huyo masaa machache baadae, huku watekaji wakiendelea kumshikilia mzee Diaz.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

French FA reject PSG request to reopen...
The French FA has refused to intervene in the increasingly...
Read more
POLISI MATATANI KWA KUMUUA MKUU WA KITUO...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
How to calm your husband mind
LOVE TIPS ❤ 1. MAKE LOVE TO HIMSex has a...
Read more
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri...
Chama cha ANC, ambacho kiliwahi kuongozwa na Nelson Mandela, kilishinda...
Read more
Suna East Residents Demand Urgent Road Repairs
The residents of Suna East Constituency in Migori County have...
Read more

Leave a Reply