PEP GUARDIOLA AUKUBALI MZIKI WA CHELSEA

0:00

MICHEZO

Kocha wa Manchester City akizungumza kuhusu Chelsea;-

“Chelsea walichokifanya kwenye usajili ndicho kimewafanya wawe hivi . Watafikia mafanikio ndani ya msimu huu au misimu ijayo kwasababu wamejijenga kwa ajili ya hilo.

Kama unategemea timu zije hapa kushinda 7-0 basi unakosea. Unajua kwa kiasi gani Chelsea imejijenga ?Tulipopita ilikuwa Manchester City. MANCHESTER CITY, Manchester city ambao tulifanya hivyo. Angalia kwasasa Chelsea imeijenga timu yao kwa ubora kwa kiasi gani? Kwahiyo ni kawaida.

Nilitegemea mechi kuwa ngumu namna hii,lakini tulikaribia au labda hatukuweza kuendana vizuri kwa matukio kadhaa lakini ndiyo soka. Chelsea wana timu nzuri na wachezaji wazuri . Liverpool walikuja na kushindwa kupata ushindi . Chelsea ilikuwa bora dhidi ya Arsenal, hii ni Chelsea.

Wana wachezaji wazuri kwenye kutumia mwili ,wenye vipaji,wana kasi,wana benchi zuri ,wana vitu vingi.Chelsea imejengwa ,walichokifanya sasa kitaweza kuonekana miaka ya mbeleni.”


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MOURINHO NA ERIK TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading