KWA EDEN HAZARD PESA SIO KIPAUMBELE

0:00

NYOTA WETU

Baada ya kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu,Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard, aliamua kustaafu huku akidaiwa kukataa ofa ya kujiunga na vilabu vya Saudia Arabia kwa mkataba wa paundi milioni 50,ambapo ungemfanya kulipwa takribani paundi milioni 1 kwa wiki ambazo ni sawa na bilioni 3 za kitanzania, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa zamani wa Chelsea, Mikel Obi.

Mikel John Obi, aliweka wazi mazungumzo aliyofanya na Hazard ,kwenye podcast ya vibe with Five inayoongozwa na Rio Fernand.

Akimnukuu Hazard, Mikel Obi alisema

“Niende Saudia Arabia, ambako nitalipwa paundi milioni I kwa wiki,Kisha iweje? Nilipokea ofa mbili,tatu hivi za kwenda Saudia Arabia “

Mikel, nina pesa nyingi. Unajua ninavyoishi maisha yangu . Situmii pesa nyingi. Kwa hivyo ,nina pesa ya kutosha ya kuishi na familia yangu na kulea watoto wangu”

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

KORRA OBIDI CRIES OUT OVER ACID ATTACK...
CELEBRITIES Singer and dancer, Korra Obidi, has been rushed to...
Read more
MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI MKURUGENZI WAKE MKUU....
MICHEZO. Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United, Richard Anorld anatarajiwa kuondoka...
Read more
RAIS SAMIA ANAJENGA ALIPOBOMOA MAGUFULI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
I could start a church if I...
Award-winning musician, Wizkid has said he could start a church...
Read more
JINSI YA KUKAA KWENYE MAHUSIANO AU NDOA...
MAPENZI Kila mtu anapenda kuwa kwenye mahusiano au ndoa kwa...
Read more
See also  BASSIROU DIOMAYE FAYE AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA SENEGAL

Leave a Reply