AFARIKI AKIFANYA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO

0:00

HABARI KUU

Maofisa wa Uingereza na Uturuki watakutana kujadiliana kuhusu mfumo wa udhibiti kufuatia kifo cha Mwanamke mmoja mwaka 2019 kilichotokea katika upasuaji wa kuongeza makalio.

Melissa Kerr alifariki Dunia jijini Istanbul mara baada ya kufanyiwa upasuaji uliohusisha kukusanya mafuta na kuyaweka kwenye makalio yake.

Kifo cha Melissa (31) kilitokana na mafuta aliyochomwa kwenye makalio aliyochomwa kuingia kwenye mishipa na baadaye kwenda kuziba ateri ya mapafu.

Sababu ya kifo chake ilirekodiwa kuwa kuwa ni kuziba kwa ghafla kwa mishipa ya damu kulikotokana na kuwekewa mafuta. Huku sababu kuu ikiwa ni upasuaji wa urembo.

Maafisa hao wanaeleza kuwa Melissa hakuwa amepewa taarifa za kutosha kuhusiana na hatari za upasuaji huo ikiwemo kiwango cha vifo.

Vilevile wamesema yawezekana hakuna kabisa udhibiti au upo kidogo sana kuhusiana na upasuaji wa urembo.

Wizara ya Mambo ya nje ya Nchi ya Uingereza imeeleza inazo taarifa hizo zaidi ya raia wake 25 walipoteza maisha nchini Uturuki tangu January 2019 baada ya kufanyiwa upasuaji wa aina mbalimbali.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

James Rodriguez aibeba Colombia kuifuata Argentina Fainali
Timu ya taifa ya Colombia imeifuata Argentina kwenye fainali ya...
Read more
Atiku Abubakar, former Vice President, has strongly...
In a statement shared on X (formerly Twitter), Atiku stated...
Read more
POLISI WATATU WAFUNGWA JELA MIAKA 20
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Kansa ya Uume,Dalili,Chanzo,Tiba na Kinga
Kansa ya uume ni aina ya saratani inayotokea kwenye tishu...
Read more
Kwanini Yanga ilimhitaji zaidi Chama kuliko Simba?
UCHAMBUZI
See also  RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA
Faida ya uwepo wa Chama Jangwani kwanza uzoefu wa mashindano...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply