0:00
HABARI KUU
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25,2023.
Hata hivyo, kurugenzi ya mawasiliano haikuweka wazi sababu za utenguzi wake.
Lakini imebidi tufatilie kwa kina na kupata taarifa kuwa Mhe. Pauline Philipo Gekul anatuhumiwa kumuwekea chupa kwenye sehemu za siri kijana mmoja huko Babati,Mkoani Manyara.
Related Posts 📫
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
LOVE TIPS ❤
1: The Most Beautiful Women-It takes holyspirit...
BUSINESS
Marketing and finding clients for a savings and insurance...
ABU DHABI, - Lando Norris led a McLaren front row...
LONDON, - England coach Steve Borthwick said that the yet...