CAF YATOA MAELEKEZO HAYA KWA SIMBA

0:00

MASTORI

CAF imeielekeza klabu ya Simba SC kuondoa neno “MO FOUNDATION ” kwenye jezi za Ligi ya Mabingwa Afrika ambalo lilikuwa likisomeka nyuma ya jezi hiyo.

Pia (CAF) imeiamuru kutumia nembo moja ya “MO EXTRA” na sio mbili kama ambavyo zilikuwa zinaonekana kwenye jezi zao mara baada ya kutambulishwa.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Austria back in business, says Arnautovic after...
Austria captain Marko Arnautovic said his side are playing like...
Read more
SERIKALI YAWEKA UKOMO BEI ZA BIDHAA ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao zake...
Read more
Mfahamu CHRISTIAN MALANGA aliyetaka kumpindua Rais Tshisekedi
HABARI KUU Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozuia mwishoni mwa...
Read more
SIGNS OF MAN WHO CARES THAN YOU...
He always rushed to respond to your text messages. He doesn't...
Read more
Nape Nnauye Ameponzwa na Mdomo au Utendaji...
MAKALA Usiku wa kuamkia leo Jumatatu tumefikiwa na taarifa za kutoka...
Read more

Leave a Reply