LIL WAYNE ASHTAKIWA KWA KUTISHIA KUUA

0:00

NYOTA WETU.

Aliyekuwa mlinzi binafsi wa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rappa huyo ,akidai kuwa msanii huyo wa YMCMB alitishia kumpiga risasi wakati wa ugomvi wao uliotokea mwaka 2021.

Nyaraka za Mahakama zinaonyesha kuwa Carlos Christian aliwasilisha kesi hiyo mnamo Ijumaa ya Desemba mosi. Ndani yake,alidai kuwa Weezy alitishia kumpiga risasi na bunduki semiautomatic.

Christian alidai kwamba alichukulia tishio hilo kwa uzito,kwani Lil Wayne aliwahi kukutwa na hatia ya kumiliki silaha bila ya kibali hapo awali.

Haijafahamika ni kiasi gani Christian anahitaji kama malipo ya fidia kutokana na usumbufu aliopitia.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Hunger protest: 4,200 policemen deployed in FCT
Ahead of the proposed nationwide protest, the Federal Capital Territory...
Read more
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini -...
Kupitia utabiri wake wa hali ya hewa, TMA imeeleza kuwa,...
Read more
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAGOMA SABABU IKIWA NI HII
Hali ilivyo katika mitaa mbalimbali ya soko kuu la Kariakoo...
Read more
Maandamano ya Ngorongoro Yamuibua Mbowe Atema Cheche
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe...
Read more
KOCHA NABI KWENYE RADA ZA TUNISIA ...
MICHEZO Shirikisho la Soka nchini Tunisia Fédération Tunisienne de Football...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply