SPOTIFY YAAMUA KUBANA MATUMIZI

0:00

HABARI KUU.

Kampuni ya Spotify ambayo ni watayarishaji wa mziki kutokea Sweden imetangaza kukata asilimia 17 ya wafanyakazi wake kwa lengo la kubana matumizi.

Kampuni hiyo ina wafanyakazi wapatao 9,000 ,na punguzo ill litahusu wafanyakazi wapatao 1,500.

Mkurugenzi mkuu wa Spotify Daniel Ek amesema amelazimika kufanya maamuzi magumu kwani kwasasa ukuaji wa uchumi ni hafifu.

“Najua punguzo hili litaleta maumivu makali kwenye timu ,haswa kwa watu wengi wenye mchango mkubwa kwenye kampuni,lakini hatuna budi kufanya hivyo ili kuweza kufikia malengo.

Niwe mkweli, vijana wenye werevu,wenye talanta na wachapakazi watatuacha”.

Mwanzoni mwa mwaka huu,kampuni hiyo yenye lengo la kufikia watumiaji bilioni kufikia 2030 ilipunguza kundi lingine la wafanyakazi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HOW TO FUCK YOUR MAN ROMANTICALLY
Look deep into his eyes and make sure u dont...
Read more
Boyfriend Who Attacked Ugandan Olympic Runner Rebecca...
The former boyfriend of Ugandan Olympic athlete Rebecca Cheptegei, who...
Read more
MANENO 5 AMBAYO YANASHAWISHI KILA MWANAMKE KUINGIA...
MAPENZI Kuwepo kwa mitandao ya kijamii kumesaidia na pia kuharibu...
Read more
RONALDO AIKATAA PENATI
MICHEZO Cristiano Ronaldo ameikataa penati aliyokuwa amezawadiwa na Refa kwenye...
Read more
WHY ETHIOPIA IS SET TO JOIN EAST...
BREAKING NEWS Ethiopia is set to become the 9th...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  RAIS WA ANGOLA AZUA SINTOFAHAMU KENYA

Leave a Reply