WAFUTA KIFARANSA KAMA LUGHA YAO YA TAIFADiscoverCars.com

0:00

HABARI KUU

Nchini Burkina Faso, utawala wa mpito unaoongozwa na Ibrahim Traore umepitisha muswada wa marekebisho ya katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha zao rasmi baada ya sasa Kifaransa kushushwa hadhi rasmi kuwa “lugha ya kazi”.

Ripoti ya Baraza la Mawaziri inabainisha kuwa muswada huu “ni sehemu mojawapo ya utekelezaji wa majukumu makuu ya mpito ambacho ni kufanya mageuzi ya kisiasa,kiuadilifu na kiutawala kwa lengo la kudumisha utamaduni wa kidemokrasia na kuimarisha utawala wa kisheria”.

Miongoni mwa mafanikio makubwa ya nakala hii mpya ni kuhainisha lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo kwasasa inaenda kuwa lugha ya kazi.

Mapema mwaka huu,Mali,inayoongozwa kama Burkina Faso na jeshi imekuwa na mahusiano mabaya na Ufaransa, ilibadilisha katiba yake kupitia maoni na kutoa hatma sawa kwa Kifaransa.

Muswada huu,ambao bado lazima upigiwe kura na Bunge la mpito ,pia unapendekeza “kuanzisha mifumo ya kutatua migogoro ya jadi na mbadala”.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA WIZARA YA...
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Maji...
Read more
TWIGA STARS YAFUZU KUCHEZA WAFCON 2024 ...
MICHEZO Timu ya soka ya wanawake ya Twiga Stars imefuzu...
Read more
SABABU ZA BENKI YA BIASHARA YA ETHIOPIA...
HABARI KUU Benki kubwa kuliko zote nchini Ethiopia imeendelea na...
Read more
PAUL MAKONDA AMTETEA MAGUFULI ...
HABARI KUU Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa...
Read more
HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA...
HABARI KUU
See also  Muhammad Mukhbar Rais mpya wa Iran
Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply