HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA

0:00

HABARI KUU

Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kuweka akiba na kuwekeza nchini mwao na sio katika mabenki ya kigeni au masoko.

Alizungumza wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uwekezaji wa Diaspora katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha (KICC) jijini Nairobi, Gachagua alisema Diaspora ndio inayoongoza kuingiza fedha za kigeni zaidi nchini Kenya 🇰🇪 zaidi ya hata sekta za utalii,kahawa na chai.

“Usije mwenyewe, hatukuhitaji kwasasa. Tunataka hubaki huko , lakini utume pesa nyumbani. Utakuja nyumbani hatimaye,lakini si sasa.

Nyinyi ndio watu wenye pesa, na mimi na Rais tunazihitaji ,na hata msipozileta tutakuja kuzichukua huko mlipo”.
Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

KILICHOMWONDOA JOB TAIFA STARS CHAANIKWA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
JE TIMU YA CHELSEA INAENDA KUTAWALA SOKA...
Klabu ya Chelsea ya Magharibi mwa London imemtangaza mchezaji ...
Read more
ASKOFU AJINYONGA KISA MADENI NA MGOGORO
HABARI KUU Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askofu wa Makanisa...
Read more
National Police Service Commission Shortlists Top Cops...
The National Police Service Commission has interviewed eight candidates for...
Read more
Education Ministry Prepares for Smooth Transition to...
The Ministry of Education has put in place the necessary...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  GODBLESS LEMA ATULIZA UPOTOSHAJI NDANI YA CHADEMA

Leave a Reply