BIASHARA YA NOVATUS YAMUWEKA BENCHI

0

0:00

MICHEZO

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini Novatus Dismas anakaa sana benchi ,je hana uwezo? au mabadiliko kwenye benchi la ufundi ni sababu ya kijana huyo kukosa nafasi ya kucheza?

Kwa mujibu wa Mwandishi mmoja wa habari nchini Ukraine šŸ‡ŗšŸ‡¦ amenukuliwa akisema;-

“Sitaki kuamini kama sababu ni uwezo wake lakini kitendo cha Novatus kwenda hapo kwa mkopo akitokea Zulte naamini kuna hofu ya Shakhtar Donetsk kuendelea kumtumia kwakuwa wanahofia kumuweka kwenye njia ya kununuliwa na timu nyingine, kitu ambacho Shakhtar hawanufaiki nacho “.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  What to do when your husband doesn't want to have sex with you
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading