0:00
MICHEZO
Kikosi cha klabu ya MC El Bayadh inayoshiriki ligi kuu ya Algeria kimepata ajali mbaya jumatano ya Desemba 20,2023 wakati kikiwa njiani kuelekea kwenye mechi ya ligi na kupelekea kifo cha kocha msaidizi, Khaled Meftahi na mlinda mlango , Zakaria Bouziani pamoja na dereva wa basi lao.
MC El Bayadh Fc ilikuwa ikisafiri kuelekea mjini TIZI-Ouzou kwaajili ya mchezo wa raundi ya 11 ya ligi kuu dhidi ya JS Kabylie siku ya Ijumaa kwenye dimba la Novemba 1,1954.
Related Posts 📫
Alisha Lehman Raia Wa Uswisi Pamoja Mpenzi Wake Douglas Luiz...
Luis Diaz's clinical 13th-minute finish on his 100th appearance for...
Joseph Aloba, the father of late singer Mohbad, has insisted...
MAKALA
Takwimu za PACOME na CHAMA kwenye Ligi na Klabu Bingwa...